Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha za mtoto wa Rihanna gumzo!

MTOTO WA RIHANA Picha za mtoto wa Rihanna gumzo!

Wed, 12 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa mkubwa duniani, Robyin 'Rihanna' Fenty, kwa mara nyingine ameachia picha za mwanaye, alizopiga katika Msimu wa Pasaka na kuzua gumzo kubwa mitandaoni kutokana na jinsi mtoto huyo alivyo mzuri!

Staa mkubwa duniani, Robyin 'Rihanna' Fenty, kwa mara nyingine ameachia picha za mwanaye, alizopiga katika Msimu wa Pasaka na kuzua gumzo kubwa mitandaoni kutokana na jinsi mtoto huyo alivyo mzuri! Rihanna alimzaa mtoto huyo Mei 13, 2022 na staa mwenzake wa muziki nchini humo, A$AP Rocky.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live