Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha za Kourtney Kardashian kwenye vekesheni, mate lazima yakutoke

1979 26435156 1858920337461981 8171094286146732032 N TZW

Fri, 26 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mrembo Kourtney Kardashian ameendelea kufurahia vekesheni yake huko nchini Mexico akiwa na mpenzi wake Younes Bendjima mwenye miaka 24.



Kourtney mwenye watato watatu ambaye pia ni dada wa Kim Kardashian, ameweka picha zake za mapumziko hayo wakati nyingine zikimuonyesha akiwa amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ikionekana.



Chanzo: bongo5.com