Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha ya kifua cha Nicki Minaj ilivyozua utata mtandaoni

217 5a3363b60e628 TZW

Fri, 15 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Ex Girlfriend wa rapper Meek Mill ila sasa inadaiwa ndio new girlfriend wa rapper Nas, Nicki Minaj amecharuka upya kwa kuavhia mpicha yake tata katika mtandao wa Instagram.

Rapper huyo wa wa kike ameachia  picha hiyo ambayo imeziba matiti tu kwa rangi ya silver huku akiwa amevalia mavazi ya pinki.

Wiki chache zilizolita mrembo huyo aliachia picha zingine tata ambazo zilitoka katika jarida la Paper Magazine katika kipengele cha Break The Internet, ambazo zilimfanya ex wake Safaree kumtamani upya mrembo huyo.

Chanzo: bongo5.com