Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha ya Oprah na Reese Witherspoon kwenye jarida la Vanity Fair yazua mshtuko

1998 SM 400x242 1 TZW

Fri, 26 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Picha iliyopigwa kwa ajili ya jarida la Vanity Fair imewashtua mashabiki wengi baada ya kumuonyesha Oprah Winfrey akionekana akiwa na mikono mitatu huku muigizaji Reese Witherspoon akionekana akiwa na miguu mitatu.

Baada ya mshtuko huo, Witherspoon aliandika ujumbe kwenye mtandao wake unaosomeka, “Well…I guess everybody knows now…I have 3 legs. I hope you can still accept me for who I am.

Chanzo: bongo5.com