Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha ya Jackie Chan yazua gumzo mitandaoni

Jackie Chan Picture Jackie Chan

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Picha hii ya Mwigizaji Jack Chan imezua hisia mseto mitandaoni kuanzia jana, picha hii inamuonesha Jack Chan mwenye umri wa miaka 70 akiwa amezeeka huku wengi ambao walimshuhudia enzi za ujana wake wakieleza hisia zao na Kumbukumbu za filamu zake.

Picha hii ya Mwigizaji Jack Chan imezua hisia mseto mitandaoni kuanzia jana, picha hii inamuonesha Jack Chan mwenye umri wa miaka 70 akiwa amezeeka huku wengi ambao walimshuhudia enzi za ujana wake wakieleza hisia zao na Kumbukumbu za filamu zake. Unaikumbuka filamu gani ambayo Jack Chan aliua sana?!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live