Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha mpya za Ciara ‘pasua kichwa’ machoni mwa vidume

1090 24332202 302376456921659 6370404138919919616 N 1 E1515064561490 TZW

Thu, 4 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

E wake wa rapper Future takriban miaka mitatu iliyopita, mwanamuziki Ciara amefungua mwaka huu kwa kuachia picha ambazo haziwezi kuwa za kawaida machoni mwa vidume.

E wake wa rapper Future takriban miaka mitatu iliyopita, mwanamuziki Ciara amefungua mwaka huu kwa kuachia picha ambazo haziwezi kuwa za kawaida machoni mwa vidume. Muimbaji huyo ambaye alijifungua mtoto wa pili April mwaka jana na mume wake wa sasa, Rusell Wilson ametumia ukurasa wake wa Instagram kuweka picha hizo.

Chanzo: bongo5.com