Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Vera Sidika amuanika mzungu wake

1283 25018963 229288654279080 5606431041528004608 N TZW

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Mfanyabiashara na mwanamitandao kutoka nchini Kenya Vera Sidika ameamua kumuandika mwanaume mwenye asili ya kizungu katika mtandao.



Vera ambaye alitangaza kuwa single wiki kadhaa zilizopita ametumia mtandao wa Snapchat kumnadi  mwanaume huyo anayesemekeana kuwa ni boyfriend wake mpya.



Kama haitoshi mrembo huyo ameweka video na kumuta kijana huyo aje kusalimia watu  “babe come say hi



Mwaka uliopita mrembo huyo alitangaza kuachana na mpenzi wake wa Kinigeria baada ya kudai kuwa alikuwa akimnyanyasa na kumtumia vibaya.

 

Chanzo: bongo5.com