Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Staa wa Korea Kusini aliyejinyonga azikwa leo

485 8 1 TZW

Thu, 21 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Hatimaye msanii wa muziki kutoka kundi la Shinee Korea Kusini, Kim Jong-hyun ambaye alijinyonga Jumatatu hii amezikwa leo.

Mwili wa marehemu Jonghyun ambaye alikuwa na umri wa miaka 27 ulikuwa umehifadhiwa katika hospitali ya Asan Medical Center kabla ya kuzikwa leo mjini Seoul.

Watu mbalimbali wamehudhuria katika mazishi hayo wakiwemo wasanii wenzake wa kundi la Shinee na dada yake ambaye alitumiwa ujumbe wa simu na marehemu usiku kabla ya tukio.

Dada wa marehemu Kim Jong-hyun akiwa ameshika picha ya kaka yake huku akilia kwa uchungu

Baadhi ya watu waliohudhuria mazishi ya Kim Jong-hyun wakilia kwa uchungu

Wasanii wengine wa kundi la Shinee wakiwa wamebeba jeneza la marehemu Kim Jong-hyun

Chanzo: bongo5.com