Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Si WCB pekee, member wa Mafikizolo alivyotokea party ya Nillan

640 25017965 245203129349602 12727547171176448 N TZW

Tue, 26 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Siku ya jana December 24, mtoto wa pili wa Diamond Platnumz, Prince Nillan alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo aliandaliwa party nchini Afrika Kusini na kuhudhuriwa na wasanii wa WCB kama Harmonize, Rich Mavoko, Maromboso, Queen Darleen na wengineo, hata hivyo si wao pekee bali na member wa kundi la Mafikizolo, Nhlanhla Nciza alihudhuria. Msanii hayo alikuwepo kwenye party hiyo kutokana na mwaliko alioupata kutoka kwa wazazi

wa Prince Nillan, Diamond na Zari. Kupitia ukurasa wake wa Instagram  Nhlanhla Nciza

ameandika;

A day well spent , Thank You fam ??@zarithebosslady@diamondplatnumz for inviting me to @princenillan ‘s birthday party. My son and I had such an awesome time ??

Chanzo: bongo5.com