Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Segere Original watikisa jukwaa na Sauti za Busara

3030 20180210 215535 TZW

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Kikindi cha ngomza za asili ya Kizarao kutoka Tanzania, Segere Original kimeweza kuamsha furaha kwa mashabiki zao kwa kutoa burudani ya muziki wa asili unaofanywa na kikundi hicho.



Kikundi hicho ambacho kilianzishwa zaidi ya miaka kumi iliyopita kiliweza pia kumtambulisha kijana wao mdogo anayefanya muziki wa Singeli aitwaye Elisha Dafa maarufu kama Dogo Elisha.

Dogo Elisha naye aliimba nyimbo zake kama vile :- ‘Rudi Baba’ na ‘Maisha ya baade’ na hii ikiwa ni mara yake ya kwanza kutoa burudani katika jukwaa kubwa la muziki Afrika.

Dogo Elisha akitoa burani

Chanzo: bongo5.com