Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Mastaa walivyotokea kwenye red carpet ya tuzo za Grammy 2018

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Usiku wa kuamkia leo (Jumatatu) umefanyika utoaji wa tuz za Grammy katika viwanja vya Madison Square Garden jijini New York nchini Marekani. Katika tuzo hizo Bruno Mars ameongoza kwa kushinda tuzo saba huku Kendrick Lamar akipata tuzo tano.



Mastaa kibao walihudhuria tuzo hizo akiwemo Jay Z, Beyonce na mtoto wao Blue Ivy, Elton John, Lady Gaga, Zayn, Pink, Dj Khaled na mwanae Asahd, John Legend na mkewe Chrissy Teigen, Big Sean, Jaden Smith, Ne-Yo na wengine.





























Chanzo: bongo5.com