Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Mastaa waliovurunda katika red carpet ya tuzo za Grammy 2018

2154 Gary Clark Jr3 TZW

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Alfajiri ya kuamkia leo dunia ilikuwa ikishuhudia utoaji wa tuzo za Grammy 2018 toleo la 60 katika viwanja vya Madison Square Garden jijini New York nchini Marekani. Ambapo mastaa kadhaa walijitokeza kuweza kujua nani anaondoka na nini.



Hata hivyo wapo walioweza kuvurunda katika uvaaji wao na ndio maana nakuletea picha za watu hao.

Gary Clark Jr.

GoldLink

Jaden Smith

Lil Uzi Vert

Run The Jewels

Tyler the Creator

P!nk

Chanzo: bongo5.com