Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Mastaa wa Bongo waliobamba kifasheni mwezi wa Ramadhani 2018

9434 Aa TZW

Mon, 18 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani umekwisha, na ninatumai Sikukuu ya Eid ilikuwa njema. Na leo Bongo5 inakuleta baadhi ya mastaa waliopendeza zaidi katika mfungo huo wa mwezi mtukufu wa mwaka 2018.



Mastaa hao ni;- Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Hmaisa Mobetto, Shamsa Ford, Irene Uyowa Dogo Janja, Vj-Penny, Lulu Diva na Fid Q.















Hao ni baadhi yao kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Flava na filamu, kigezo kilichotumika kuwapata ni kutokana na futari mbalimbali zilizofanyika ambazo waliudhuria na photoshoot walizofanya.

Loading...
Chanzo: bongo5.com