Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Kidumu alivyowasha moto Sauti za Busara

2890 DSC 0191 TZW

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Usiku wa kuamkia leo msanii wa muziki ambaye ni mzaliwa wa Burundi anayeishi nchini Kenya Kidumu, ameweza kukonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha lamuziki la Sauti za Busara liliofunguliwa rasmi kwa gwaride hapo jana.



Kidumu akiambatana na band yake ya The Boda Boda Band waliweza kutoa burudani ya aina yake kwa wapenzi wa muziki na wapenzi wa tamasha hilo waliojitokeza Ngome Kongwe kisiwani Zanzibar.

Nyimbo zilizotumika kupamba jukwaa ni ‘Shehereke’,’Haturudi Nyuma’ aliyofanya na Juliana kutoka Uganda, ‘Nitafanya’ aliyoimba na Lady Jaydee kutoka Tanzania na nyinginezo zinazofanya vizuri Afrika na Ukanda wa Afrika Mashariki.





Chanzo: bongo5.com