Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Grace Matata aandika historia jukwaa la Sauti za Busara

3058 DSC 0056 TZW

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Grace Matata ameweka tabasamu katika nyuso za mashabiki wake walioudhuria tamasha la Sauti za Busara 2018, hapa kisiwani Zanzibara kwa kutoa burudani kali na yenye kusisismua kwa siku mbili mfululizo.



Mrembo huyo ambaye amewahi kuingia katika vinyang’anyiro tofauti vya tuzo za muziki aliweza kuimba ngoma kama vile:- Free Soul, Nyakati, Mama Mubaya ya Mataluma na ngoma zingine katika majukwaa mawili tofauti ambayo ni Amphitheatre na Bustani ya Forodhani

Tazama picha zaidi:





Chanzo: bongo5.com