Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Gauni la Blac Chyna lawatoa udenda vidume

679 26066303 356171208185751 3852992479519309824 N TZW

Thu, 28 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Blac Chyna ni mmoja kati ya wasichana wanaotupia pamba za kufa mtu na zikampendeza. Mrembo huyo ambaye amebarikiwa kuwa na umbo la kumchanganya kila mwanaume aliyekamilika amewashtua mashabiki mitandaoni kutokana na gauni lake alilovaa katika kipindi cha kusherehekea sikukuu ya Christmas pamoja na kuuaga mwaka 2017.

Blac Chyna ni mmoja kati ya wasichana wanaotupia pamba za kufa mtu na zikampendeza. Mrembo huyo ambaye amebarikiwa kuwa na umbo la kumchanganya kila mwanaume aliyekamilika amewashtua mashabiki mitandaoni kutokana na gauni lake alilovaa katika kipindi cha kusherehekea sikukuu ya Christmas pamoja na kuuaga mwaka 2017. Chyna amepigilia gauni hilo lenye rangi nyekundu na mpasuo mpaka karibia na kiuno, limeonekana kumkaa kisawa sawa mrembo huyo mwenye miaka 29 na kuonekana kigori huku akisahaulika kabisa kama ni mama wa watoto wawili. Je kwa mtazamo wako unampa asilimia ngapi kwa gauni hili?

Chanzo: bongo5.com