Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Dogo Janja achora Tattoo ya Irene Uwoya kwenye kwapa

7722 Zsda12a TZW

Thu, 10 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Tangu walipofunga ndoa imekuwa vigumu kuwakosa kwenye headlines za kiburudani Bongo, time hii Dogo Janja amechora tattoo ya Irene Uwoya kwenye kwapa.

Kuchora tattoo inaweza isiwe ishu, stori ni eneo ambalo tattoo yenyewe imechorwa si kawaida. Kupitia Instagram Dogo Janja ameweka picha hiyo na kuandika; I made this infinity Promise for you @ireneuwoya8 #NoMoreDrama

Chanzo: bongo5.com