Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Davido amtembelea Cassper Nyovest Afrika Kusini, kisa?

2799 ZAASAS.png

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido amefunga safari hadi nchini Afrika Kusini kwa rapper Cassper Nyovest kujadili namna watakavyo-shoot video ya ngoma yao mpya. Safari ya Davido inakuja siku kadhaa baada ya wawili hao kuonekana wakiwa studio.





Video hapo ni pale Davido na Cassper Nyovest  walipokutana studio Januari 14 mwaka huu.
Chanzo: bongo5.com