Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Best Of Jackline Mengi

2127 24331636 371882116588956 5867877396031471616 N TZW

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Anafahamika kama mjasiliamali ila mwaka 2000 amewahi kuwa Miss Tanzania na pia kwa sasa amekuwa moja ya mrembo anayetazamwa sana kutokana na mafanikio aliyonayo. Nakukaribisha katika ulimwengu wa mitindo hapa Bongo5.



Jackline Mengi ambaye ni mama wa watoto wawili amekuwa moja ya mwanamke mwenye sifa ya kupendeza sana na pia amegeuka kama Fashion Icon, sio tu kwa kuwa ni mtu maarufu bali nikutokana na upangiliaji wa mavazi yake yote (Outfit).



Ukimtazama mrembo huyo katika suala la utaona utofauti mkubwa sana uliopo kwa sasa katika tasnia ya mavazi na all staff of Fashion. Naweza sema mitindo ni moja ya maisha yake ya kila siku na ndiyo maana leo tumempa nafsi ya kuwa ‘Best of’ hii ni kutokana na kufuatilia uvaaji wake, mpangilio wake wa mavazi na unadhifu wake aliyonao.







Chanzo: bongo5.com