Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Phina awavaa Wabongo mavazi ya nusu utupu 'Wana ushamba fulani hivi'

Phina BSS Mshindi Phina awavaa Wabongo mavazi ya nusu utupu 'Wana ushamba fulani hivi'

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo Phina amesema, wabongo wengi bado wana hali ya ushamba kwenye suala la mavazi ndio maana huwa wanakuwa hawamuelewi pindi apokuwa amepiga nguo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi.

Phina amesema, watu hao ndio humfuata na kumsema vibaya mitandaoni pindi anapotupia nguo hizo ikiwemo lile gauni lake la bluu.

"Wabongo wana ushamba flani hivi, hizi pigo ni za kinyamwezi sasa wakati mwingine wanashindwa kukuelewa na kukusema lakini nashukuru sio wote, wapo ambao wanachukulia kawaida," alisema Phina, staa wa Bongo Fleva, zao la BSS.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live