Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Phina akiri kutoka moyoni 'Idris ananivutia'

Phina Akiri Kutoka Moyoni 'Idris Ananivutia' Phina akiri kutoka moyoni 'Idris ananivutia'

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Phina amekiri kuwa, Idris Sultan ni moja kati ya wanaume wanaomvutia Afrika Mashariki.

Phina ameenda mbali zaii kwa kusema, kwa duniani,muigizaji Michael Jordan ndiye anayemvutianzaidi na yupo tayari hata kufunga naye ndoa endapo atapata hiyo nafasi.

"Kwenye macho yangu navutiwa zaidi kumtazama Idris, sio kudate naye lakini ananivutia. Kwa duniani, Michael Jordan niko tayari hata anioe," alisema Phina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live