Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Phina: Muziki haujawahi kuwa rahisi kwa mtoto wa kike

Saraphina Tz Sarafina

Wed, 4 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akiwa katika interview na mmoja ya chombo cha habari mwanamuziki Phina ametoa yamoyoni akidai kuwa muziki haujawahi kuwa salama na rahisi kwa mtoto wa kike.

Aidha Mwanamziki huyo ameeleza kuwa mambo ni mengi yanayoendelea katika tasnia ya sanaa ya muziki haujawahi kuwa rahisi kwa mtoto wakike kwani wao ni maua, lazima wafatiliwe na wadudu akimaanisha kusumbuliwa na wanaume kimapenzi ni kawaida.

Pia alisema kwamba kiuhalisia changamoto lazima ziwepo ukiwa unatafuta mafanikio katika kile unacho kipambania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live