Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Phina: Mimi sio wa kishua, Nimetokea familia ya kawaida

Phina Nyonyo Sarafina "Phina"

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio The Melanin Queen, Phina Tz amejibu kuhusu watu kumchukuliwa wakishua na kutokea familia ya kitajiri pande cha Mwanza.

Kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio The Melanin Queen, Phina Tz amejibu kuhusu watu kumchukuliwa wakishua na kutokea familia ya kitajiri pande cha Mwanza. "Mimi sio wakishua nimetokea familia ya kawaida tu ghorofa lipo lakini la kawaida. Nimehustle kwenye muziki kama wengine walivyo-hustle.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live