Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Petit Man: Paula aifanye ndoa yake Private

PETIT MAN Petit Man: Paula aifanye ndoa yake Private

Tue, 7 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa wasanii na mfanyabiashara Petit Man amemshauri mtoto wa Kajala Masanja, Paula, ayafanye masha yake ya ndoa yawe ya siri (private).

Petit ameyasema hayo alipokuwa kwenue tukio la chai la Paula lilifanyika nyumbani kwa Kajala ambapo yeye pamoja na watu wengine maarufu walikuwa wamealikwa.

"Kwa kuwa hivi tayari ameshaolewa, tumeshajua sasa anaweza kuifanya ndoa yake private kama mimi maisha yangu ya mitandaoni ni tofauti na maisha yangu halisi," alisema Petit.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live