Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Petit: Diamond hamlipii ada mwanangu

DIAMOND NA PETIT Petit: Diamond hamlipii ada mwanangu

Sat, 1 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Petit Man kwa mara ya kwanza ameweka wazi kuhusu mtoto wake Taraji kulipiwa ada ya Shule na Mjomba wake ambae ni Staa wa muziki, Diamond Platnumz.

Akiwa kwenye kipindi cha Kisofa cha TVE, Petit amekanusha stori hizo kwa kusema kuwa sio kweli na ada ya shule ya mtoto wake anailipa mwenyewe.

"Hapana sio kweli kwa sababu shule anayosoma mtoto mimi ndio nilioitafuta na toka nimalize changamoto na mama yake mimi ndio ninaelipa ada ya mtoto mpaka sasa nimelishikilia mimi kwa hiyo iyo ishu haina ukweli," alisema Petit.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live