Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Penzi la Mobetto na Kevin limevunjika? Wenyewe waanika ukweli

Penzi La Mobetto Na Kevin Limevunjika Penzi la Mobetto na Kevin limevunjika? Wenyewe waanika ukweli

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuzuka tetesi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kuvunjika kwa penzi la Kevin Sowax na muigizaji Hamisa Mobetto, hatimaye wawili hao wamewaziba midomo wazushi, baada ya Kevin ku-share video akimtakia Hamisa kheri katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake.

Baada ya kuzuka tetesi katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kuvunjika kwa penzi la Kevin Sowax na muigizaji Hamisa Mobetto, hatimaye wawili hao wamewaziba midomo wazushi, baada ya Kevin ku-share video akimtakia Hamisa kheri katika kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake. Kevin ali-share video hiyo kupitia InstaStory yake wakati akimu-wish Mobetto kwa njia ya simu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live