Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Penzi la Kim na Pete Davison chali

Kim Kanye Davidson Penzi la Kim na Pete Davison chali

Sat, 6 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Penzi la Kim Kardashian (41) na Pete Davison (28) lapasukiana baada ya miezi tisa ya kuwa pamoja.

Chanzo cha karibu ya kimesema walimwagana wiki hii na sababu umbali na ubize baina yao hivyo wameona wapeane nafasi wabaki tu kuwa marafiki wa kawaida.

Mrembo huyo aliwahi kukiri kuwa yeye ndie alianza kumshobokea Pete baada ya kusikia fununu kuwa amejaaliwa mashine kubwa na walikuwa na matarajio uhusiononwao huo udumu lakini umeishia kuota mbawa mapemo mno.

Pete kwasasa yuko bize kushuti movie mpya nchini Australia wakati Kim yupo bize na mambo mengine ya kikazi na kulea watoto wake wanne aliozaa na Kanye West.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live