Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Penzi la Justin Bieber na Hailey halijavunjika

Penzi La Justin Bieber Na Hailey Halijavunjika Penzi la Justin Bieber na Hailey halijavunjika

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: Radio Jambo

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Justin Bieber amethibitisha kuwa mapenzi yake na Hailey hayajafa, huku akiamua kujitoa kumsaidia mpenzi wake katika kazi zake za sanaa.

Kwa mujibu wa TMZ mwezi uliopita Justin aliweza mtumia Hailey zawadi na kiasi cha fedha dolla 5000 kwa ajili ya ku-support sanaa ya mwanamitindo huyo kama ishara kudumisha upendo wao.

Hata hivyo wapenzi hao siku za hivi karibuni walionekana mtaani wakiwa wameshikana mikono wakitoka kwenye moja ya mgahawa nchini Mrekani. .

Chanzo: Radio Jambo