Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paula ajifungua mtoto wa kike, Marioo sasa aitwa Baba (+Video)

AA PAULA MARIOOO Paula ajifungua mtoto wa kike, Maroo sasa aitwa Baba

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuthibitisha kutarajia kupata mtoto, hatimaye mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wamepata mtoto wa kike waliyompa jina la Amarah.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa #Marioo ame-share video akiwa na mtoto wake huyo iliyoambatana na ujumbe

“Asante Mungu kwa Baraka hii ya Mtoto,Tunakushukuru kwa Mtoto wetu wa Kwanza, Our beautiful Daughter Princess Amarah Mungu akukuze akujaalie Afya na Baraka Tele asante Malkia wangu #PaulaKajala unastahili kila kilichopo ndani ya uwezo wangu , mungu akubariki sana”

Aidha kupitia video hiyo mastaa mbalimbali walimpongeza msanii huyo kupitia upande wa ‘koment’ akiwemo Wema Sepetu, Lamata, Billnass, Maua Sama na wengineo.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live