Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paula, Marioo full mahaba mbele ya mama yao

PAULA NA MARIOO MAHABA Paula, Marioo full mahaba mbele ya Kajala

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Familia ya mastaa ya muigizaji Kajala Masanja imeendelea kutengeneza habari baada ya kuzindua reality show yao usiku wa kuamkia leo Mei 11, 2023.

Kwenye tukio hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa...Masakoi jijini Dar, Paula alitokelezea kwenye shughuli hiyo na baadaye alionekana akiwa na Marioo wakioneshana mahaba mbele ya kamera.

Kuna wakati, Kajala alifika kwenye eneo ambalo alikuwepo Marioo na Paula kisha akawasalimia na kucheza nao pamoja.

Kuna walati pia, Paula alikua akimshikashika Marioo kifuani kimahaba akichezea cheni aliyovaa mwamba.

Paula na Marioo ni penzi jipya mjini. Kabla ya kukutana na Marioo, Paula alikuwa akitoka na Rayvanny ambaye kwa sasa naye amerudiana na baby mama wake, Fahyma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live