Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paula: Mama yangu ndie Mungu wangu wa Duniani

Therealpaulahkajala 269951508 316626103718425 7117840150700802806 N Paula: Mama yangu ndie Mungu wangu wa Duniani

Wed, 3 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo anayetikisa kwa sasa Bongo, Paula Kajala, amefunguka kuhusu mapenzi ya wazazi wake (P Funk na Kajala) akidai kuwa Mama yake (Kajala Masanja) kuwa ndiye Mungu wake wa duniani / Mungu wake wa pili na anampenda sana.

Mrembo anayetikisa kwa sasa Bongo, Paula Kajala, amefunguka kuhusu mapenzi ya wazazi wake (P Funk na Kajala) akidai kuwa Mama yake (Kajala Masanja) kuwa ndiye Mungu wake wa duniani / Mungu wake wa pili na anampenda sana. "Mama yangu nampenda sana, Mama yangu ndie Mungu wangu wa duniani," amesema Paula kupitia kipindi cha The Switch ya Wasafi FM.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live