Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Paula: Huwezi kuishi maisha kama ya kwangu

Paula Kajala Paula Masanja.

Mon, 13 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa Kajala Masanja, mwanadada Paula amesema licha ya kutokuwa na fedha, maisha yake sio ya mchezo.

Mtoto wa Kajala Masanja, mwanadada Paula amesema licha ya kutokuwa na fedha, maisha yake sio ya mchezo. "Sina hela lakini maisha ninayoishi, wewe huwezi ukaishi, niamini mimi." ameandika Paula kwenye Insta Story.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live