Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Patrick Kanumba: Mzungu mmoja alitaka kunilipa nizae nae

Patrick Kanumba Trdh Patrick Kanumba.

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa Filamu nchini Othman Njaidi maarufu kama Patrick Kanumba amesema kuwa mwanamke mmoja Mzungu wa nchini Ujerumani alimuomba amlipe pesa ili ampe mimba wazae mtoto jambo ambalo alilikataa.

"Kuna mwanamke mmoja kutoka nchini Ujerumani aliwahi kunitafuta huku akidai kuvutiwa na mimi jinsi nilivyo akanambia nizae na yupo tayari kunilipa kiasi chochote cha pesa.

"Kuhusu mtoto alisema yeye angemgalamia kila hitaji, ila mimi sikuwa tayari maana hiyo sio tabia yangu na ninaogopa vitu vingi maishani mwangu," amesema Patrick Kanumba.

Wewe ungepata dili hilo ungekubali?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live