Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pascal Pascal kuileta ‘Mvua ya Baraka’

WhatsApp Image 2020 09 03 At 14.35.32.jpeg Pascal Pascal kuileta ‘Mvua ya Baraka’

Thu, 3 Sep 2020 Chanzo: mtanzania.co.tz

MWIMBAJI wa Injili kutoka Illinois nchini Marekani, Bizimana Pascal ‘Pascal Pascal’, amewataka wapenzi wa muziki huo kukaa tayari kwa ujio wa wimbo wake mpya, Mvua ya Baraka.

Akizungumza na MTANZANIA, Pascal alisema wimbo huo wa kumshukuru Mungu utaanza kupatikana kwenye mitandao mbalimbali kuanzia wiki ijayo hivyo mashabiki wakae tayari.

“Mvua ya Baraka itakuwa kwenye chaneli yangu ya YouTube ya Pascal Pascal Talent kuanzia wiki ijayo. Huu ni wimbo mzuri sana naamini utambariki kila mmoja wetu hivyo naomba sapoti kwa mashabiki zangu hapo Afrika Mashariki,” alisema Pascal.

Chanzo: mtanzania.co.tz