Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pafyumu ya Beyonce inauzwa laki nne

Beyonce Ce Noi Perfume Pafyumu ya Beyonce inauzwa laki nne

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kutoa taarifa katika ziara yake ya #Renaissance kuhusiana na uzinduzi wa #Perfume yake, hatimaye mfanyabiashara na mwanamuziki #Beyonce amezindua manukato hayo ambayo yanapatikana kwa kutoa ‘oda’.

Kupitia ukurasa wa #Instagram wa #Beyonce ame-share promo ya perfume hiyo huku akieleza kuwa manukato hayo yataanza kuingia sokoni Novemba kwa oda.

Manukato hayo yaliyopewa jina la #CENOIR yanapatikana kwa ‘oda’ kwenye tovuti ya mwanamuziki huyo huku bei ya uturi huo ikiwa ni $160 ambapo ni sawa na zaidi ya laki nne za Kitanzania ambapo inadaiwa kuwa manukato hayo yatauzwa Marekani na Canada pekee.

Miezi kadhaa iliyopita #Beyonce na binti yake #BlueIvy walishika vichwa vya habari baada ya kuupiga mwingi katika ziara yao waliyoipa jina la ‘Renaissance World Tour’ iliyoanza May na kutamatika Oktoba 1 mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live