Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PNC Shino na Rayvanny 'Twende kazi'

Rayvanny Pnc PNC Shino na Rayvanny 'Twende kazi'

Tue, 2 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Lebo ya Next Level Music, Raymond Mwakyusa 'Rayvanny' amekubali kufanya kazi na PNC Shino baada ya PNC kuweka wazi kutamani kufanya naye kazi kupitia show ya Planet Bongo ya East Africa TV.

Rayvanny alijibu hilo kwenye comment kwa kuandika "Shino style let's do it my brother".

Kuanzia sasa tegemea kuona kazi mpya ya PNC Shino akiwa na Rayvanny.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live