Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Zawadi aliyotoa Eric Omondi kwa mpenzi Valentines Day

Thu, 22 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Ikiwa leo February 14, 2018 ni siku ya wapendanao ambapo watu wengi ulimwenguni wanaitumia kwa kuwapa zawadi watu wanao wapenda, sasa mchekeshaji kutokea nchi ya Kenya Eric Omondi ameamua kuitumia siku ya leo kwa kumpa mpenzi wake Chantal zawadi ya Gari.

Ikiwa leo February 14, 2018 ni siku ya wapendanao ambapo watu wengi ulimwenguni wanaitumia kwa kuwapa zawadi watu wanao wapenda, sasa mchekeshaji kutokea nchi ya Kenya Eric Omondi ameamua kuitumia siku ya leo kwa kumpa mpenzi wake Chantal zawadi ya Gari. Erick Omondi amempatia mpenzi wake huyo Gari aina ya Red BMW X6 M Sport ikiwa ni siku ya wapendanao na kuandika…>>>” HAPPY VALENTINES MY LOVE

Chanzo: millardayo.com