Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Show ya Aslay na Nandy ndani ya Kagera

865 WhatsApp Image 2017 12 31 At 00.19.26 660x400 TZW

Mon, 1 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Ni saa chache zimebakia ili tuweze kumaliza mwaka 2017, watu wa mkoa wa Kagera wamepokea show ya nguvu kutoka kwa Aslay na Nandy usiku wa kuamkia leo December 31, 2017 katika ukumbi wa St.Theresa uliopo ndani ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.

Wakazi wa Kagera wameonyesha ushirikiano na shangwe kubwa kwa wasanii hao ambao wanafanya vizuri katika muziki wa Bongofleva nchini kwa sasa. Shuka chini ili kutazama

FLAVIAN MATATA KAZUNGUMZIA BIDHAA ZAKE, ZINAUZIKA MPAKA MAREKANI?, BONYEZA PLAY KUTAZAMA

 

Chanzo: millardayo.com