Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Muonekano wa mjengo wa Christian Bella baada ya kukamilika

F7E62BE1 D6E4 4F21 BB26 DBAAFD635037 660x400.jpeg PICHA: Muonekano wa mjengo wa Christian Bella baada ya kukamilika

Thu, 24 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Huu ndiyo mjengo wa mwimbaji Christian Bella wa Gorofa moja ambao ameujenga kwa miaka na upo maeneo ya Mbweni Jijini Dar-Es-Salaam.

Bella amesema tayari ameshahamia kwenye mjengo huo na yupo mbioni kumalizia mjengo wake mwingine wa Gorofa alioanza kuujenga hivi karibuni.

Hizi hapa chini ni Picha zinazoonesha kwa nje mjengo wa Christian Bella ukiwa umekamilika.

Chanzo: millardayo.com