Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: FC Bayern ndio Mabingwa wa UEFA Super Cup

4DA4D2EC 03D1 4AD6 94ED 0A40A0BD3D3A 660x400.jpeg PICHA: FC Bayern ndio Mabingwa wa UEFA Super Cup

Fri, 25 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mabingwa wa UEFA Champions League FC Bayern Munich ya Ujerumani leo wamewaonesha Ubabe Mabingwa wa Europa League club ya Sevilla FC kutokea Hispania katika mchezo wa fainali wa UEFA Super Cup.

Thomas Muller mchezaji bora wa mechi

Mchezo huo uliochezwa Budapest Hungary umemalizika kwa FC Bayern Munich kuwa Bingwa wa Kombe hilo kwa kuifunga Sevilla magoli 2-1 mchezo ambao ulilazimika owenda dakika 120 ili kupata mbabe.

Champions never die

— Anawezaofficial (@anawezaofficial) September 24, 2020

Ushindi huo unaifanya FC Bayern Munich ndani ya mwaka 2020 kuwa imepata ushindi katika mchezo wa 23 mfululizo lakini ni mchezo wao wa 32 wakicheza bila kupoteza na hilo ndio taji lao la nne ndani ya mwaka 2020.

Chanzo: millardayo.com