Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA: Alikiba na Mke wake Amina kwenye pozi la pamoja

DF346E51 D872 4988 8A13 6B712D82B05D 660x400.jpeg PICHA: Alikiba na Mke wake Amina kwenye pozi la pamoja

Wed, 23 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Toka staa wa Bongofleva Alikiba arudiane na mke wake Amina ambaye kwa sasa karudi Bongo kuendelea na familia yake, wawili hawa wamekuwa hawajizui tena kuonesha penzi lao lilivyonoga ambapo wamekuwa wakishare picha na video za pamoja wakiwa kwenye moment ya furaha.

Alikiba na mkewe Amina wamekuwa wakishare picha hizo kwenye mtandao wa Snapchat na Instagram, na jioni ya September 22,2020 Mke wa Alikiba ameshare na sisi picha mpya akiwa na mpenzi Mume wake kwenye Pozi la pamoja.

Hizi hapa chini ni baadhi ya Picha za Alikiba na Mke wake Amina Kwenye Pozi la Pamoja toka warudiane.

KUTAZAMA VIDEO YA ALIKIBA NA MKE WAKE BONYEZA PLAY HAPA CHINI.

Chanzo: millardayo.com