Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 8:Dogo Janja afika Ngarenaro atoa misaada familia 40

WhatsApp Image 2021 06 30 At 5.23.39 AM 5 660x400.jpeg PICHA 8:Dogo Janja afika Ngarenaro atoa misaada familia 40

Thu, 1 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

NI headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Dogo Janja ambae time hii anazimiliki vichwa vya habari baada ya kufika kitaani kwao Ngeranaro na kufanikiwa kutoa mahitaji muhimu kwa familia 40 zisizojiweza.

NI headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Dogo Janja ambae time hii anazimiliki vichwa vya habari baada ya kufika kitaani kwao Ngeranaro na kufanikiwa kutoa mahitaji muhimu kwa familia 40 zisizojiweza. Staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram ameandika..’Rudisha kwa mtaa, jamii iliyonilea, Ngarenaro Nilipata bahati ya kutembelea mtaa wangu niliozaliwa nikiwa na team kubwa kabisa ikiongozwa na @djhazuu tuliweza kusaidia mahitaji ya muhimu kwa jumla familia (40) zijisojiweza (Walemavu, Wajane, Wazee, Na Watoto) Licha ya hiyo nimeweza kuskiliza wengine ambao hawakuwa na uhitaji wa vyakula, bali wao wemekumbwa na maradhi makubwa sana.. na mimi nimeahidi ntashirikiana nao na kusaidiana nao hadi afya zao zirejee vizuri (Insha’Allah) warudi kwenye majukumu yao ya kuendelea kulijenga TAIFA!!

Chanzo: millardayo.com