Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

PICHA 5:Unakaa Kunduchi, Mbweni? Tumia Barabara hii kukwepa foleni

N66 1 660x400 ili kuepuka foleni unaweza pita hapa

Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Najua nina watu wangu ambapo uishi Kunduchi, Mbweni, Madale na kila ifikapo Asubuhi ama jioni upata tabu juu ya foleni, sasa Millardayo.com imekusogezea hii Barabara iliyopo Mbezi ya Chini iitwayo Mwamunyange Road ambayo itakuwezesha wewe mtanzania kuwahi katika majukumu yako ya kila siku.

Sifa zilizokuwepo katika Barabara hii kwanza haina foleni, pili inasaidia kurahisisha Wananchi kuwahi kwenye majukumu yao ya kila siku ama mizunguko yao.

Na Taa zilizofungwa kwenye barabara hiyo uvutia na kupendezesha nyakati za Usiku huku kukiwepo na matuta ambayo umfanya dereva aliekatika Barabara kuendesha kwa mwendo usipungua Speed 50.

Habari hii ikufikie wewe mtanzania uliekuwa na kilio cha muda mrefu juu ya foleni, hapa nimekusogezea picha tano za muonekano wa Barabara hiyo iliyopewa jina la Mwamunyange.





Chanzo: millardayo.com