Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 5 :Alikiba alivyomtembelea mama yake Rais Magufuli

2084 Screen Shot 2018 01 27 At 6.38.58 PM.png

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

 

Leo January 28,2018 Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba amepost picha kupitia ukurasa wake wa Instagram na kushukuru kwa baraka alizozipata baada ya kumtembelea mama JPM akiwa  Wilayani Chato.



Ali Kiba pamoja na mdogo wake Abdu Kiba walipata nafasi hiyo wakiwa Wilayani Chato na kuelezea furaha yao juu ya mapokezi mazuri waliyoyapata kutoka kwa mama mzazi wa Rais JPM baada ya kutembelea hospitali ya wilaya ya Chato.

“Leo tuliweza kutembelea Hospital ya wilaya ya Chato Kwenda Kuwaona Wagonjwa na vile vile tulikwenda nyumbani Kwa RAIS natuliweza kupiga Story Na BIBI yetu MAMA JPM. Nimcheshi Sana na tulipata baraka zake. Shukrani Sana#KingKiba



Kitu alichokuwa anafikiria Chege kuhusu Engine wa Wolper

Chanzo: millardayo.com