Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 3: Tazama Ray Kigosi katuweka picha za mtoto wake akitimiza mwaka 1

1678 A3

Mon, 22 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Muigizaji wa Bongomovie Ray Kigosi leo January 21, 2017 amepost picha za mwanae ikiwa ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa na huku akitimiza mwaka mmoja ambapo Ray amepost Picha tatu tofauti na kumtakia mwanae huyo wakiume aliyempa jina la Jaden the Greatest heri ya siku ya kuzaliwa.

Ray kwenye Ukurasa wake wa instagram ameweka picha tatu tofauti ambazo moja akiwa yeye na mwanae nyingine akiwa mtoto peke yake na kuandika maneno haya…>>>“HAPPY BIRTHDAY MY BIG BOSS @jadenthegreatest NI MWAKA SASA TANGU UMEZALIWA SINA BUDI KUMSHUKURU MUNGU KWA KUENDELEA KUKUZA NA KUKUPA AFYA NJEMA HAKIKA SINA CHA KUKULIPA MUNGU WANGU WA HAKI ZAIDI YA KUKURUDISHIA SIFA NA UTUKUFU,”

“HAPPY 1ST BIRTHDAY MY BIG BOSS WEWE NDIO FURAHA YANGU WEWE NDIO KILA KITU KWANGU WEWE NDIO KIBOKO YANGU WEWE NDIO NUSU YA MAISHA YANGU NAKUPENDA SANA MY SON MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE BARAKA NA KUMPENDEZA YEYE @jadenthegreatest @chuhansykichuna2018” – Ray Kigosi





JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record kwa kununua CD 25 Mlimani City



Joh Makini, Quick Rocka, Bdozen na Mimi Mars baada ya kununua Album ya Vanessa

Chanzo: millardayo.com