Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 22 Kutoka kwenye harusi ya Shilole na Uchebe iliyofanyika Mikocheni DSM

1279 DSC 0026 660x400 TZW

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Msanii wa Bongofleva Shilole leo amefanya  sherehe ya harusi yake na mume wake Uchebe ambapo imefanyika Mikocheni Dar es salaam na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali kama Diamond Platnumz, Hamornize, Wolper, Vanessa Mdee, Jux, Joketi, Dogo Janja na Irene Uwoyo pamoja na wengine..

Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye sherehe hiyo..

“Sifatiliagi mahusiano ya watu” – HARMONIZE

Chanzo: millardayo.com