Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 10: Treni iliyowabeba Wasanii na wadau wa Soka tayari imewasili Kigoma

4 1 1 660x400 PICHA 10: Treni iliyowabeba Wasanii na wadau wa Soka tayari imewasili Kigoma

Sun, 25 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Treni  iliyobeba wasanii, mashabiki na wadau mbalimbali tayari imeshawasili muda huu mkoani Kigoma.

Wasanii na wadau hao wanatarajia kushuhudia mechi Jumapili  July 25, 2021 kwenye uwanja wa Lake Tanganyika katika mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga

Mashabiki  na wasanii hawa watarudi Dar na Treni hiyo siku ya Jumapili, huu ni mchongo ulioandaliwa na CLOUDS MEDIA GROUP kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania na hii sio mara ya kwanza kwa Clouds kufanikisha bata la kwenye Treni.Kigoma na Dar ni KM 1444 za barabara kwa mujibu wa google.



.

.



.



.



.



.

.



.



.



.

PROF. JAY, G NAKO, LULU DIVA, LINNAH WALIVYOTUA KIGOMA, WAFUNGUKA BATA LA KWENYE TRENI
Chanzo: millardayo.com