Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 10: Diamond Platnumz na Hamisa Mobetto walivyokutana Mahakamani

2853 Godfrey 660x400

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 8, 2018 Nyota wa muziki, Diamond Platnumz na mwanamitindo Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya usuluhishi kuhusu matunzo ya mtoto wao.

Hatua ya Diamond na Mobetto kufika Mahakamani inatokana na Mobetto kufungua shauri kuhusu matunzo ya mtoto aliyezaa na Diamond. Nimekusogezea Picha ilivyokuwa Mahakamani baada ya kesi hiyo.

ALICHOZUNGUMZA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KESI YAKE NA HAMISA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com