Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

PICHA 10:Awilo Longomba alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa Tanzania

8g 660x400 PICHA 10:Awilo Longomba alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa Tanzania

Thu, 6 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Usiku wa kuamkia leo May 6,2021 imefanyika birthday dinner ya msanii kutokea Congo Awilo Longomba ambaye anatimiza miaka 59 ya kuzaliwa akiwa Tanzania kikazi kwenye uandaaji wa Filamu mpya inayoandaliwa na BJB Film.

Dinner imehudhuliwa na watu wa karibu wa msanii huyo kutokea Mataifa mbalimbali wakiwemo wa UK, America, Congo na hapa Tanzania wakiwemo Tunda, Whozu na H Baba wakiwa miongoni mwa Waalikwa.

.



.

.



.



.



.



.

.



.



.

TAZAMA AWILO LONGOMBA ALIVYOKATA KEKI YA BIRTHDAY YAKE TANZANIA

Chanzo: millardayo.com