Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

P Square Waomba Radhi

P Square 1 P Square Waomba Radhi

Mon, 27 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waimbaji mapacha kutoka Nigeria wanaounda Kundi la P Square (Peter na Paul) wamepiga magoti na kuwaomba msamaha Mashabiki wao Duniani kote kutokana na ugomvi wao uliosababisha Kundi hilo kuvunjika kwa miaka zaidi ya minne na kuahidi kutotengana tena.

Waimbaji mapacha kutoka Nigeria wanaounda Kundi la P Square (Peter na Paul) wamepiga magoti na kuwaomba msamaha Mashabiki wao Duniani kote kutokana na ugomvi wao uliosababisha Kundi hilo kuvunjika kwa miaka zaidi ya minne na kuahidi kutotengana tena. Wasanii hao ambao kwa sasa wamemaliza ugomvi wao na kurudi kwenye stage kufanya yao kama zamani wameanzisha Music Tour yao wanayoiita “P Square Reactivated" wakianzia na show yao iliyofanyika Eko Convention Centre, Lagos Nigeria siku ya Christmas.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live